Lirik Lagu
Memuat lirik lagu secara otomatis...
Tentang Lagu Ini
Lagu berjudul Mbosso - PAWA (Lyrics) merupakan karya musik populer dari Lyriccwave.
Anda dapat mendengarkan audio berkualitas tinggi, membaca lirik lagu, serta mengunduh format MP3/MP4 secara gratis di LaguMP3.xyz.
🎶 Love these lyrics? 🔥 Drop your own tracks on Spotify, Apple Music & TikTok! Use my DistroKid link & get 7% off your first year 👉 https://distrokid.com/vip/seven/12144941 Song: Pawa Artist: Mbosso Lyric Video: Lyriccwave Credit: Mbosso ... Lyrics: [Instrumental Intro] S2Kizzy, Baby [Verse 1] Kamusi namaliza kurasa kukusifia Matusi naiona BASATA wakinifungia Theluthi hizi raha ninazopata mia fil mia, ah Mjusi ukuta wa plasta na uparamia [Pre-Chorus] Na kama penzi ni chupa la bia Nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia Kwa maana we mlezi na unanijulia Hawana hawawezi pakukuibia dear [Chorus] Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa [Instrumental Break] [Verse 2] Nilifeli secondary kwendaga chuo Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo Yeremia mstari nifunue Ufunuo, oh Nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo [Bridge] Na kama penzi ni chupa la bia Nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia Kwa maana we mlezi na unanijulia Hawana hawawezi pakukuibia dear [Post-Chorus] Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito, naishiwa pawa Pawa, pawa, naishiwa pawa Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa [Instrumental Outro] Ka Mix Lizer #lyriccwave #lyrics #mbosso #pawa
Rekomendasi Lagu Lainnya
Okello Max - TAYA (Lyrics)
Lyriccwave
The Second Voice - LET ME BE (Lyrics)
Lyriccwave
Gee-Tuy - DROP YOUR OPAY (Lyrics)
Lyriccwave
Mbosso - PAWA (Lyrics)
Lyriccwave
Bien X Alikiba - FINALE (Lyrics)
Lyriccwave
Mae Lyon - ON MY MIND (Lyrics)
Lyriccwave
Toxic Lyrikali Ft. Countree Hype - BACKBENCHER (Lyrics)
Lyriccwave
Mejja Ft. Fik Fameica - SIAKA (Lyrics)
Lyriccwave